Kibaha, Tanzania

Shule ya Msingi Mwembeni Inahitaji Madawati 50

Wanafunzi 200 lakini madawati 80 tu. Wanafunzi wengi wanasoma chini.

USD 580.00 zimepatikana 58% · lengo USD 1,000.00

Kampeni hii imefungwa.

Imeombwa naMwembeni Primary School
Watakaonufaika200
Mwisho30/08/2026